Habari za Punde

Matayarisho ya ujenzi wa barabara ya Ole - Kengeja


GARI maalumu aina ya kijiko kwa ajili ya kusafisha barabara, kikifanya kazi hiyo kwenye barabara ya Ole-Kengeja yenye urefu kilomita 30, ambayo imeanza ujenzi wake kwa hatua ya  kufanya usafi, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

5 comments:

  1. Mnawajengea nani hizo barabara wkt wapemba wote wamehamia unguja na tanganyika. Ukifanya economic analysis utaona haina maana bora ingelijengwa unguja maeneo ya d/bovu na tomondo ndugu zetu walikoamua kuwa ndio makaazi yao mapya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usiwe na choyo name chuki kiasi hicho kwa wapemba kwani hata halo ndugu zetu Wa damu nao WAPO wengi tu huku Pemba basis wataidika wao na hizo Barabara kwa hiyo wacha wajenge tu.

      Delete
  2. Wacha ujinga!!. Unasema haya Pengine huko Pemba hujui haka kulivyokaa. Inayojenga ni Serikali sio chama. Kila mukiambiwa hamuna akili ndio munazidi!!

    ReplyDelete
  3. Hii jamaa umekuwa na chuki kiasi hiki ? Eti "ukifanya economic analysis utaona haina maana " Mimi naona ungejifaanyia economic analysis wewe binafsi ungegundua huna maana kabisa kwa kuzungumza pumba .

    ReplyDelete
  4. Ikiwa choyo, ujinga, pumba ujumbe umefika na huo ndio ukweli.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.