GARI maalumu aina ya kijiko kwa ajili ya kusafisha barabara, kikifanya kazi hiyo kwenye barabara ya Ole-Kengeja yenye urefu kilomita 30, ambayo imeanza ujenzi wake kwa hatua ya kufanya usafi, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Washiriki zaidi ya 2000 kushiriki kongamano la mashirika yasiyo ya
kiserikali
-
WASHIRIKI zaidi ya 2000 kutoka ndani na nje ya Tanzania wanatarajiwa
kushiriki kongamano la mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs)
linalotara...
1 hour ago
Mnawajengea nani hizo barabara wkt wapemba wote wamehamia unguja na tanganyika. Ukifanya economic analysis utaona haina maana bora ingelijengwa unguja maeneo ya d/bovu na tomondo ndugu zetu walikoamua kuwa ndio makaazi yao mapya
ReplyDeleteUsiwe na choyo name chuki kiasi hicho kwa wapemba kwani hata halo ndugu zetu Wa damu nao WAPO wengi tu huku Pemba basis wataidika wao na hizo Barabara kwa hiyo wacha wajenge tu.
DeleteWacha ujinga!!. Unasema haya Pengine huko Pemba hujui haka kulivyokaa. Inayojenga ni Serikali sio chama. Kila mukiambiwa hamuna akili ndio munazidi!!
ReplyDeleteHii jamaa umekuwa na chuki kiasi hiki ? Eti "ukifanya economic analysis utaona haina maana " Mimi naona ungejifaanyia economic analysis wewe binafsi ungegundua huna maana kabisa kwa kuzungumza pumba .
ReplyDeleteIkiwa choyo, ujinga, pumba ujumbe umefika na huo ndio ukweli.
ReplyDelete