Kikosi cha timu ya Best Point Hotel Limited ya Dar es
Salaam
Mmoja wa kiongozi wa ZECO FC Faina Idarous Faina akitoa maelekezo wakati wa mapumziko
Kocha mkuu wa timu ya ZECO FC Said (Njunju) akitoa maelezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko. Kufuatia mawaidha hayo ndio yaliyozaa bao 1-0 lililofungwa mwanzoni mwa kuanza kipindi cha pili. Katika mchezo huo zeco imeshinda 1-0.
Kikosi cha timu ya ZECO FC kikipasha kabla ya kuanza
mchezo wake baina ya timu ya Hoteli ya Best Point Limited ya Dar es Salaam.
Mchezo ulioisha kwa ZECO FC kuifunga timu ya Best Point 1-0
No comments:
Post a Comment