Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe Mhe: Ismail Jussa Ladhu akiongea na waTanzania wa DMV, walioka meza kuu wakanza kushoto Katibu wa Tawi la Chadema DMV Liberatus "Libe" Mwangombe, akifuatiwa na Mwenyekiti wa Tawi la Chadema DMV Mhe. Kalley Pandukizi, Shamis Alkhatry CUF pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la kina mama CHADEMA DMV Bi Baybe Mgaza.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ahajj Hemed Suleiman Abdulla
Amemuwakilisha Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Katika Dua Maalum
ya Kuiombea Nchi Uwanja wa Gombani Chakechake Pemba
-
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla
akimuwakilisha Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapi...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment