Habari za Punde

Usafi wa Mazingira ya Majaa

KIJIKO cha Baraza la Manispa Zanzibar likilifanyia usafi moja ya jaa katika maeneo ya mitaa ya michezani  na misufini, ili kuweka mazingira safi ya eneo hilo, hasa ikizingatiwa  kipindi hichi cha mvua za masiki zikiaza kunyesha. Taka hizo zinaweza kuleta madhara kwa wakaazi wa eneo hilo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.