Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar leo ilibidi kuonja joto ya jiwe baada ya kukuta mlangoni agizo la kutakiwa kulipa kiingilio kuona mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar ilioaza leo katika uwanja wa amaan kati ya timu ya JKU na Shaba, Kama wanavyoonekana wakiwa katika mlango wa VIP wakiwa wamezuiliwa nav kulazimika kulipa kiingilio cha shilingi 1000/- na kuona mchezo huo na kuripoti katika vyombo vyao
Hapa kiingilio tu
TTCL KUJENGA MINARA ZAIDI YA 1,400 KUIMARISHA MAWASILIANO NCHINI
-
Mkurugenzi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), CPA (T) Moremi Marwa,
amesema katika mwaka wa fedha 2025/2026 Serikali kupitia shirika hilo
imepanga...
24 minutes ago
hivyo ndivyo inavyotakiwa hasa sio kwakuwa wao waandishi wa habari ndio wapite bure, kwani wao hizo habari wanatowa bure? hawauzi au hawalipwi mishahara?, na hapo nyumbani mchezo huu upo kila pahala mpaka kwenye daladala majeshi na polisi hawalipi nauli hii wameona wapi? nasikia na mawaziri hawalipi umeme sasa kweli tutaendelea hivyo?
ReplyDelete