Habari za Punde

Ligi Daraja la Pili Nane Bora Kati ya Muembeladu na Kundemba Uwanja wa Amaan Usiku Huu. Muembeladu 2 Kundemba 0



 Shabiki wa timu ya Muembeladu akizuiya baada ya kuona timu yake haitendewi haki katika mchezo huo baada ya kumtoa kwa kadi nyekundu mchezaji wao na Muamuzi wa mchezo huo Masoud Mwinyi   
Benchi la ufundi la Timu ya kundemba likiongozwa na kocha Mkuu, Seif Bausi na Juma Yussuf likiendelea kuangalia huku wakiwa hawaamini kinachotokea uwanjani baada ya kufungwa bao la pili na Muembeladu





 Kocha Mkuu wa Timu ya Kundemba, Seif Bausi akitowa maelekezo kwa wachezaji wakati wa Mchezo wao wa Ligi Daraja la Pili nane bora uliofanyika uwanja wa Amaan.



Mashabiki wa timu ya Kundemba wakifuatilia mchezo wao wa Timu Nane Bora Daraja la Pili uliofanyika uwanja wa Amaan usiku huu. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.