Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mtoni ambae pia ni Katibu Mwenezi wa Kata hiyo Wilaya ya bTemeke Mkoa wa Dar es salaam Ndugu Hija Makamba akielezea mafanikio yanayopatikana kutoka na ujirani mwema kati ya pande hizo mbili.
Mkuu wa Msafara wa Ujumbe wa Kata ya Mtoni Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Nd.Said Kabuma akitoa shukrani kwa mapokezi mazuri waliyopewa na wenyeji wao Wilaya ya Dimani wakati wa kuagana baada ya kumaliza ziara yao ya ujirani mwema Zanzibar.
Balozi Seiuf akimfariji na kumpa Pole Bibi Khadija Said Hassan wa Kata ya Mtoni Wilaya ya Temeke ambaye alipata ajali ya kugongwa na vespa wakati wa ziara yake ya ujirani mwema Zanzibar.
Picha na –OMPR – ZNZ.
No comments:
Post a Comment