MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salim
Jecha akifungua mkutano wa wadau wa Uchaguzi na viongozi wa vyama vya siasa
Kisiwani Pemba,pembeni yake ni baadhi ya makamishna wa Tume hiyo.
MKUU wa Wilaya ya Mkoani katikati Mhe:Hemed Suleiman
Abdalla, akiwa na makatibu tawala wa Mkoa na Wilaya za Pemba, wakifuatia hutuba
ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim ambaye hayupo pichani,
wakati akifungua mkutano wa wadau wa Uchaguzi.
MWENYEKITI wa Chama cha AFP Taifa Said Soud Said,
akichangia mada katika mkutano wa wadau wa Uchaguzi uliofanyika kisiwani Pemba.
Picha zote
na Bakari Mussa.PEMBA.
No comments:
Post a Comment