WAZIRI MKUU ANADI VIVUTIO VYA UTALII, UWEKEZAJI
-
▪️Ni katika siku ya Tanzania kwenye maonesho ya Osaka World EXPO 2025
▪️Asema mauazo ya bidhaa za Tanzania Japan yafikia sh bilioni 37
▪️Asisitiza Tanzania...
4 hours ago
Lakini Bingwa hii katiba imejadiliwa na kupitishwa na CCM watupu kule kwenye bunge la katiba dodoma. Sasa vyereje leo Bingwa hii katiba iwe ya Watanzania wote? Wewe Bingwa si useme tu kama wewe ni CCM usitudanganye!
ReplyDelete