WAGENI WAENDELEA KUMIMINIKA HIFADHI YA NGORONGORO
-
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro.
Wageni kutoka mataifa mbalimbali wanaotembelea eneo la Hifadhi ya
Ngorongoro wameendelea kufanya shughuli za utalii kwa am...
1 hour ago

Lakini Bingwa hii katiba imejadiliwa na kupitishwa na CCM watupu kule kwenye bunge la katiba dodoma. Sasa vyereje leo Bingwa hii katiba iwe ya Watanzania wote? Wewe Bingwa si useme tu kama wewe ni CCM usitudanganye!
ReplyDelete