MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif
Sharif Hamad, akiwasili katika eneo la Msikiti wa Kinyasini na kupokelewa na
Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Mhe:Abubakar Khamis Bakary, kwa lengo la
kuufungua mskiti huo.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif
Sharif Hamad, akisalimiana na mwakilishi wa Jumuiya ya IHH kutoka uturuki, mara
baada ya kuwasili katika mskiti wa Kinyasini Uliojengwa na Mfadhili Hassan
Hussein kutoka Uturuki. (Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif
Sharif Hamad, akiwasili katika msikiti wa Kinyasini jimbo la Mgogoni kisiwani
Pemba, huku akipokelewa na wanafunzi mbali mbali waliokuwa wakisoma kasida. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif
Sharif Hamad, akikata utepe kuashiria kuufungua rasmi Mskiti wa Kinyasini
kisiwani Pemba. (Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif
Sharif Hamad, akifungua mlango kuashiria kuufungua msikiti wa Kinyasini
kisiwani Pemba. (Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
WAUMINI mbali mbali wa dini ya Kiislamu
wakimsikiliza kwa makini Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Maalim Seif
Sharif Hamad wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kinyasini mara baada
ya kuufungua msikiti wao. (Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif
Sharif Hamad, akizungumza na wananchi wa Kinyasini kisiwani Pemba, mara baada
ya kuufungua mskiti wao. (Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif
Sharif Hamad, akiwaaga wananchi wa Kinyasini kwa kuwapungia mkono, mara baada
ya kuufungua mskiti wao. (Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment