Habari za Punde

Barabara Chakechake yafanyiwa ukarabati

GARI aina ya ya sagamawe ikishindilia kifusi katika barabara ya Chake Chake Mjini, kipande hicho cha barabara ambacho kimeharibika hali iliyowafanya Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Pemba, kukifanyia ukarabati kama kinavyoonekana katika Picha(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.