WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknlojia
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Pro: Makame Mnyaa Mbarawa, akisalimiana na
wachezaji wa timu ya Fidel Castro, kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali ya
kuwania kombe la CCM jimbo la Wawi, dhidi ya Wawi star, uliochezwa uwanja wa
Gombani Chake chake Pemba, ambapo Fidel iliibuka na ubingwa, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknlojia wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Pro: Makame Mnyaa Mbarawa, akisalimiana na wachezaji wa
timu ya Wawi star, kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali ya kuwania kombe la
CCM jimbo la Wawi, dhidi ya Fidel castro, uliochezwa uwanja wa Gombani Chake
chake Pemba, ambapo Fidel ilitazwa ubingwa (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
KUKOSEKANA kwa machela maalumu kwenye
michuano mbali mbali inayochezwa uwanja wa Gombani, husababisha kwa wachezaji
kubebana wenyewe, kama juzi kwenye michuano ya kuwania kombe la CCM jimbo la
Wawi, ambapo timu ya Wawi star ikimtoa mchezaji wao Salum Abdalla baada ya
kupata majeraha, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknlojia
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Pro: Makame Mnyaa Mbarawa akikabidhi zawadi
kwa makamu bingwa wa michuano ya kuwania kombe la CCM jimbo la Wawi, nahoza wa
timu ya Wawi star Azhar Mbarouk, fainali hiyo iliochezwa uwanja wa Gombani
Chake chake Pemba, ambapo Fidel ilitazwa ubingwa (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknlojia wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Pro: Makame Mnyaa Mbarawa akikabidhi zawadi ya ushindi
bingwa wa michuano ya kuwania kombe la CCM jimbo la Wawi, nahoza wa timu ya
Fidel Castro Shurubu Ali, fainali hiyo ilichezwa uwanja wa Gombani Chake chake
Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment