Habari za Punde

Jamani Ee hata mwezi haujafika!


Hii ndio hali ya mabomba ndani ya Kilimanjaro 5 ambayo imeanza kazi chini ya wiki mbili iliopita.



Kwa kweli inasikitisha saana kwa abiria wetu kuanza kufanya uharibifu namna hii kwa maksudi.. 

Hizi boti ni kwaajili yenu abiria na kuvitunza na kuvilinda ni majukumu yetu sote! 

Tunaomba ushirikiano wenu katika hili na kutoa report kwa baharia au nahodha mtu anaopoona vitu kama hivi vikitokea

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.