Habari za Punde

Jumuiya ya Taqwa yasaidia mayatima wa Jumuiya ya Tahfidh Qur-an na Maendeleo ya Waislam jimbo la Ole Pemba



MKURUGENZI Mtendaji wa TAQWA Tanzania Dk.Salha Mohamed Kassim, akizungumza na walezi wanaolea watoto mayatima wa Jumuiya ya Tahfidh Qur-an na Maendeleo ya Waislam jimbo la Ole huko Markas ole.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WALEZI wanaolea watoto mayatima wa Jumuiya ya Tahfidh Qur-an na Maendeleo ya Waislam jimbo la Ole, wakimsikilisa Mkurugenzi Mtendaji TAQWA Tanzania Dk. Salha Mohamed Kassim, wakati alipokuwa akizungumza nao huko huko Markas Ole.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 SHEHA wa shehia ya Mchanga Mrima Wilaya ya Chake Chake, Omar Suleiman akizunguma na waumini wa dini ya Kiislam wakati wa ugawaji wa msaada wa Chakula kwa walezi wanaolea watoto mayatima huko katika kiwanja cha Markaz Ole Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MLEZI wa Jumuiya ya Tahfidh Qur-an na Maendeleo ya Waislam jimbo la Ole, Abdalla Mohamed Kassim akizungumza na walezi wanaolea watoto Mayatima waliochini ya Jumuiya hiyo wakati wa ugawaji wa msaada wa Chakula kwa watoto Mayatima.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 AMIRI wa Jumuiya ya Tahfidh Qur-an na Maendeleo ya Jimbo la Ole, Ustadhi Omar Khamis akizungumza katika hafla ya Utoaji wa msaada wa Chakula kwa walezi wanaolea watoto Mayatima huko Ole Markazi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MKURUGENZI Mtendaji wa TAQWA Tanzania Dk.Salha Mohamed Kassim, akimkabidhi mafuta ya kupikia Mlezi wa watoto mayatima, ambapo kila mlezi alipatiwa mafuta, mchele, unga wa ngano, Tende na Chumvi, msaada ambao umetolewa na Jumuiya ya Kusaidia kuboredha maisha ya watoto yatima wa Majumbani Tanzania (TAQWA) .(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 WALEZI wanaolea watoto mayatima wa Jumuiya ya Tahfidh Qur-an na Maendeleo ya Waislam jimbo la Ole, wakisubiri gari kuwakilia misaada yao waliopatiwa na Jumuiya ya Kusaidia kuboredha maisha ya watoto yatima wa Majumbani Tanzania (TAQWA) .(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WALEZI wanaolea watoto mayatima wa Jumuiya ya Tahfidh Qur-an na Maendeleo ya Waislam jimbo la Ole, wakipakia misaada yao waliopatiwa na Jumuiya ya Kusaidia kuboredha maisha ya watoto yatima wa Majumbani Tanzania (TAQWA) .(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

WALEZI wanaolea watoto mayatima wa Jumuiya ya Tahfidh Qur-an na Maendeleo ya Waislam jimbo la Ole, wakisubiri gari kuwakilia misaada yao waliopatiwa na Jumuiya ya Kusaidia kuboredha maisha ya watoto yatima wa Majumbani Tanzania (TAQWA) .(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.