Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Abdurahamani Kasongo, akipitia Kadi ya Mwananchama wa CCM Ndg Mohammed Suleiman aliyejitokeza kugombea Ubunge Jimbo la Malinzi Zanzibar.
Mgombea Jimbo la Malindi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg Mohammed Suleiman Omar akikabidhi fedha kwa ajili ya malipo ya fomu ya Ubunge wa Jimbo la Malindi Zanzibar kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Abdurahaman Kasongo.
Mgombea Jimbo la Malindi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg Mohammed Suleiman Omar akikabidhi fomu yake ya kugombea Ubunge jimbo la Malindi Zanzibar kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Abdurahaman Kasongo.
Mgombea Jimbo la Malimdi Ndg Mohammed Suleiman Omar akiwa na mama yake mzazi Bi Nasra aliyemshindikiza kwenda kuchukua fomu ya kugombea jimbo hilo wakitoka katika jengo la Ofisi ya CCM Wilaya ya Mjini Mitii Ulaya Unguja.
No comments:
Post a Comment