KAZI ni kazi, alimradi iwe ya halali na
kisha mkono uende kinywani, ndio ishara inayoonekana kwa kijana huyu ambae
hakupatikana jina lake, katika eneo la Mkoani Pemba, akiwa amebeba madumu
matupu ya mafuta ya kupikia kama sehemu ya kazi yake, (picha na Haji Nassor, Pemba).
TAASISI ZA UMMA TEKELEZENI SHERIA YA MAZINGIRA
-
*Meneja wa Maeneo Maalumu na Mabadiliko ya Tabianchi, kutoka Baraza la
Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC),Dkt. Careen Anatory
Kahangwa,...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment