Habari za Punde

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA MODENAIZESHENI YA SEKTA YA MIFUGO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye jarida la Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya Mifugo baada ya kuuzindua mpango huo leo Jumatatu Julai 20, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye jarida la Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya Mifugo baada ya kuuzindua mpango huo leo Jumatatu Julai 20, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na maafisa waandamizi wa Wizara ya Mifugo baada ya kuzindua 
 Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na jamii ya wafugaji wa kabila la Kimaasai baada ya kuzindua  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015.Pamoja naye ni Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Mhe. Raila Odinga ambaye yupo nchini kwa ziara binafsi.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma jarida la  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipena mikono na Dkt. Kaush Arha baada ya kuongea katika uzinduzi wa  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipatiwa maelezo kuhusu miradi ya maendeleo ya Wizara ya Mifugo kutoka kwa mmoja wa maafisa waandamizi wa wizara hiyo wakati  Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015. hata hivyo Rais alionesha kutofurahishwa na utendaji wa Wizara hiyo na kuwataka watend(PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.