Habari za Punde

Rais Kikwete safarini Geneva

 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na makada wa CCM wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. Makada hao walikuwa uwanjani hapo kwa mapokezi ya mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli

 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Mhe Said Meck Sadick wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa    kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. 

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshio la Polisi IGP Ernest Mangu  wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa    kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. 

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.