Uchukuzi wa mizigo kupita kiasi cha tani ya gari huleta madhara kwa mwenye gari na watumiaji wa barabara wakati linapotokea tatizo la kiufundi au kuanguka kwa mizigo hiyo kama inavyoonekana vijana hawa wakiwa katika barabara ya Muembeledu wakiondoa magunia ya mkaa baada ya kupakiwa katika gari kupita uwezo wake na kuanguka katika barabara hiyo na kuleta usumbufu kwa watumiaji wa barabara.
BALOZI NCHIMBI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMUAGA MZEE MONGELLA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
ameongoza mamia ya waombolezaji, katika utoaji wa heshima za mwisho na
hatimae ...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment