Habari za Punde

Uzinduzi wa mfumo wa taarifa za soko la ajira Zanzibar.

  Baadhi ya Vijana waliohudhuria katika ufunguzi wa kituo cha taarifa za soko la Ajira Zanzibar huko Wizara ya Uwezeshaji Utawi wa Jamii Wanawake na Watoto iliyopo Mwanakwerekwe

 Meneja wa Mradi wa Mfumo wa taarifa za  Soko la Ajira Zanzibar Ibrahim Mtongole akitoa maelezo akitoa maelezo kwa watu waliohudhuria katika uzinduzi wa mfumo wa taarifa za soko la ajira Zanzibar.

 Waziri wa Nchi Afisi ya Raisi Kazi na Utumishi wa Umma Harouna Ali Suleiman akiwahutubia Vijana aliohudhuria katika Uzinduzi wa Mfumo wa Taarifa za soko la ajira kwa Vijana Zanzibar.

Mkurugenzi wa Ajira Ameir Ali Ameir akimfahamisha Waziri na Viongozi wengine mbali mbali jinsi ya mfumo wa taarifa za Soko la Ajira utakavyofanya kazi.

(PICHA ZOTE NA MIZA OTHMAN- MAELEZO ZANZIBAR).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.