Habari za Punde

Maalim Seif afungua Kongamano la wafanyabishara na wawekezaji Milan

Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko wa Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, akiwasilisha taarifa inayohusu fursa za uwekezaji nchini Tanzania kwenye kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji nchini Italia. 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akibadilishana mawazo na baadhi ya wafanyabiashara na wawekezaji wa Italia, baada ya kufungua kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji, kwenye maonyesho ya biashara ya Milan nchini Italia. 
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akibadilishana mawazo na baadhi ya wafanyabiashara na wawekezaji wa Italia, baada ya kufungua kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji, kwenye maonyesho ya biashara ya Milan nchini Italia.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyabiashara na wawekezaji wa Italia. Kushoto ni balozi wa Tanzania nchini Italia Dkt. James Alex  na kulia ni waziri wa biashara wa Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyabiashara na wawekezaji wa Italia. Kushoto ni balozi wa Tanzania nchini Italia Dkt. James Alex  Msekela na kulia ni waziri wa biashara wa Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akibadilishana kadi na mmoja kati ya wafanyabiashara wa Italia. Katikati ni balozi wa Tanzania nchini Italia Dkt. James Alex  Msekela .
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na mmoja kati ya wafanyabiashara wa Italia huku baadhi ya wajumbe wa Tanzania wakishuhudia.
 Baadhi ya washiriki wa kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji kwenye maonyesho la biashara ya Milan Italia lililofunguliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakifuatilia ufunguzi huo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza kwenye ufunguzi wa kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji mjini Milan Italia.

(Picha na Salmin Said, OMKR Italy)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.