Habari za Punde

AU wamuaga Balozi Amina Washington DC

Blaozi wa Umoja wa Afrika Mhe. Amina Salum Ali akiwahutubia wafanyakazi na wageni waalikwa waliofika kwenye ghafla ya kuagwa kwake iliyofanyika siku ya Jumatatu, Aug 31, 2015 Washington, DC.
 Diaspora wakipata picha ya kumbukumbu na Balozi Amina Salum Ali.
 
Mhe. Tete Antoni Balozi wa Umoja wa Afrika New York akitoa hotuba yake ya kumuaga Balozi Amina Salum Ali ambaye amemaliza muda wake kama Balozi wa Umoja wa Afrika Washington, DC.
Picha ya pamoja

 Baadhi ya wafanyakazi wa Umoja wa Afrika Washington, DC wakipata picha ya kumbukumbu na Balozi Amina Salum Ali.
Picha ya kumbukumbu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.