Habari za Punde

Makampuni ya ujenzi yanapohatarisha mazingira

 IPOHAJA kwa makampuni yanayojenga barabara kisiwani Pemba, mara wamalizapo kazi hiyo inayoambatana na uchimbaji wa kifusi, kufukia mashimo yenye kina kirefu, kama eneo lililopo karibu na redio Jamii Micheweni, ambapo pia linahatarisha nguzo kuu za umeme kupata mtikisiko hasa kipindi cha mvua, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.