WAFUASI wa vyama vinne vinavyounda UKAWA,
wakimsikiliza na kumshangilia mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
kwa tiketi ya CHADEMA Mhe: Edward Ngoyaye Lowassa, hayupo pichani, alipowasili
kisiwani Pemba, kuzungumza na wanaukawa na kisha kuwanadi wagombea ubunge na
uwakilishi wa majimbo 18 kisiwani Pemba, mkutano uliofanyika uwanja wa
Tibirinzi Chake chake, (Picha na Haji
Nassor, Pemba ).
WAFUASI wa vyama vinne vinavyounda UKAWA,
wakimsikiliza na kumshangilia mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
kwa tiketi ya CHADEMA Mhe: Edward Ngoyaye Lowassa, hayupo pichani, alipowasili
kisiwani Pemba, kuzungumza na wanaukawa na kisha kuwanadi wagombea ubunge na
uwakilishi wa majimbo 18 kisiwani Pemba, mkutano uliofanyika uwanja wa
Tibirinzi Chake chake, (Picha na Haji
Nassor, Pemba ).
WAANGALIZI mbali mbali wakifuatilia mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA chini ya UKAWA, Mhe: Edward Lowassa uliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WATENDAJI wa msalaba mwekundu ‘Red cross’ wakiwatoa nje
ya uwanja wa Tibirinzi Chake chake Pemba, baadhi ya wanachama wa vyama
wanaounda UKAWA, baada ya kuanguka kwa joto, ambapo zaidi ya wanachama 20
walianguka uwanjani hapo, wakati wakimsikiliza mgombea urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe: Edward Lowass kwa tiketi ya CHADEMA chini ya UKAWA (Picha na Haji Nassor, Pemba).
BAADHI ya viongozi wa CHADEMA na
NCCRA-MGEUZI wakifuatilia mkutano uliokuwa ukihutubiwa na mgombea urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, chini ya UKAWA, Mhe:
Edawrd Ngoyaye Lowassa, kwenye mkutano uliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chake
chake Pemba, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
NAIBU Katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI Mussa
Kombo, akiwasalimia wanachama wa vyama vinavyounda UKAWA, waliohudhuria mkutano
wa hadhara, uliohutubiwa na Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwa tiketi ya CHADEMA, kupitia UKAWA Mhe: Edward Lowassa na kufanyika uwanja wa
mpira Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF
chini ya UKAWA, maalim Seif Sharif Hamad, akiwasalimia wanachama wa vyama
vinavyounda UKAWA, waliohudhuria mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Mgombea
urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe: Edward
Lowassa na kufanyika uwanja wa mpira Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MGOMBEA Mwenza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa
tiketi ya CHADEMA Mhe: Juma Duni Haji, akizungumza na wanachama wa vyama vinavyounda
UKAWA, waliohudhuria mkutano wa hadhara wa kampeni na kufanyika uwanja wa mpira
Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na
Haji Nassor, Pemba).
MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa
tiketi ya CHADEMA Mhe: Edward Lowassa, akizungumza na wanachama wa vyama
vinavyounda UKAWA, waliohudhuria mkutano wa hadhara wa kampeni na kufanyika
uwanja wa mpira Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WAGOMBEA ubunge na uwakilishi wa majimbo 18 ya
Pemba, wakinadiwa na Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa
tiketi ya CHADEMA chini ya UKAWA, kwenye mkutano uliofanyika uwanja wa
Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na
Haji Nassor, Pemba).
WAGOMBEA urais Zanzibar na Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, na mgombea mwenza Juma Duni Haji (kulia), wakijadili jambo kabla
ya kuondoka kwenye uwanja wa Tibirinzi Chake chake, ambapo kulifanyika mkutano
wa hadhara uliohutubiwa na Mgombea urais wa Muungano wa tiketi ya CHADEM Mhe:
Edward Lowassa, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
No comments:
Post a Comment