Habari za Punde

Majumuisho ya matokeo ya Urais wa Zanzibar baada ya kutangazwa majimbo 31 kati ya 54


Tume ya Uchaguzi Zanzibar imetoa matokeo ya uchaguzi wa Rais ambayo yamehakikiwa kutoka baadhi ya maeneo visiwani humo. Kufikia sasa Tume hiyo imetangaza matokeo kutoka majimbo 31 kati ya 54.

Matokeo hayo yaliyokuwa yametangazwa kufikia saa mbili jioni Oktoba 27 ni kama ifuatavyo:
Matokeo ya uchaguzi wa Rais wa Zanzibar (Majimbo31/54)
JinaChamaKuraAsilimia
Khamis Iddi LilaACT-W1890.1
Juma Ali KhatibADA-TADEA930.0
Hamad Rashid MohamedADC2520.1
Said Soud SaidAFP2230.1
Ali Khatib AliCCK2400.1
Ali Mohamed SheinCCM139,55757.9
Mohammed Massoud RashidCHAUMMA2570.1
Seif Sharif HamadCUF93,69938.9
Taibu Mussa JumaDM1180.0
Abdalla Kombo KhamisDP860.0
Kassim Bakar AlyJAHAZI2270.1
Seif Ali IddiNRA630.0
Issa Mohammed ZongaSAU1270.1
Hafidh Hassan SuleimanTLP1070.0
Zanzibar ina jumla ya wapiga kura 503,860 waliojiandikisha kupiga kura, kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Chanzo: BBC

1 comment:

  1. INASIKITISHA SANA KWAMBA CCM HAIHESHIMU WANANCHI WAKE KWANI ZANZIBAR NI YA CCM IPI ILIKUWEPO MWANZO ZANZIBAR AU CCM ACHENI UHAFIDHINA HUO
    HIVI SASA TAYARI MUMESHA ZUNGUKWA NA JEHANAM KWA HAKI ZETU MLIZO ZIPORA TANGU 1995
    MUOGOPENI MUNGU NYIE IYO TUME NI HAPA DUNIANI MAALIM SEIF SIO MJINGA HAWEZI KUFUKUA MAKABURI WAKATI ANAJUA MUNGU NDIE HAKIMU WA KWELI HAWEZI KUWAPOKEA MIZIGO YA MADHABI KWA KULIPIZA KISASI WAKATI ANAJUA NYINYI MUNACHO KICHUMA KATIKA MEMA KINAINGIA KATIKA AKAUNTI YAKE HAMNA CHA KUMLIPA MUOMBENI RADHI MAALIM KABLA HAMJAFA ILI AWASAMEHE DUNIANI NA AKHERA
    BIN ALI MTAMBWE NYALI

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.