Habari za Punde

Maziko ya Maalim Fadhil Pandu, Jambiani

 Mmoja wa Walimu wa chuo cha Kiislamu aliyewahi kufanya kazi na Maalim Fadhil Pandu akizungumza machache kabla ya Sala ya maiti kusaliwa
 Sehemu ya umati ukielekea sehemu ya pwani baada yaMsikiti uliokusudiwa kusaliwa sala ya Maiti kutotosha ilibidi Sala isaliwe sehemu ya pwani, pichani waumini wa kiislamu wakielekea sehemu iliposaliwa Sala ya maiti

 Waumini wa dini ya kiislamu wakijipanga safu kabla ya kuanza kusaliwa Sala ya maiti ya Maalim Fadhil Pandu
Waumini wa dini ya kiislamu wakijipanga safu kabla ya kuanza kusaliwa Sala ya maiti ya Maalim Fadhil Pandu Pandu. Maalim Fadhil Pandu aliwahi kuwa Maalim Mkuu msaidizi katika Chuo cha Kiislamu Zanzibar. Alihitimu masomo yake Chuo Kikuu cha Kiislamu Al Azhar Misri Alisomesha Lumumba kwa wale walosoma Lumumba watamkumbuka 


Sala ya maiti ni Sunnah kusaliwa nje au sehemu maalum inayotengwa nje ya msikiti kwa ajili ya Sala hii.

3 comments:

  1. INNA LILLAH WAINNA ILAIH RAAJIUUN.
    Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi Amin. Tuliishi naye kwa wema na upendo masomoni Cairo.Tutaendelea kumkumbuka kwa mema yake.

    ReplyDelete
  2. Inna lilah waina ilahi raajiuun

    ReplyDelete
  3. Inna lilah waina ilahi raajiuun Tutaendelea kukumbuka kwa juhudi zako njema.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.