Habari za Punde

Mkutano wa wadau wa uchaguzi wafanyika Pemba


DSC03679
Mkurugenzi wa Uchaguzi ambaye pia ni katibu wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Ndg. Salum Kassim Aliakitoa maelezo mafupi kuhusu mkutano wa Wadau wa Uchaguzi kisiwani Pemba uliofanyika tarehe 12/10/2015Hoteli ya Hifadhi Chake chake.
DSC03687
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Mh. Jecha Salim Jecha akiwasilisha Taarifa kuhusu maandalizi ya uchaguzi Mkuu 2015,
DSC03698
Mgombea wa Uraisi kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AFP) Said  Soud Said akitoa mchango wake juu ya taarifa ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar kuhusu maandalizi ya Uchaguzi Mkuu 2015, taarifa hiyo iliwasilishwa katika mkutano wa wadau wa Uchaguzi ambao ulifanyika Hotel ya Hifadhi Chake chake Pemba Terehe12/10/2015

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.