Habari za Punde

Mambo ya Viua vya Zenj Hivyooooo

 Moja ya Utamaduni wa Zenj ni kofia ya Kiua Wazee wa Zamani walilikuwa ni moja ya vazi lao wakati wa Jioni na siku za kawaida huvaa kofia na kazu ya darzi wakiwa wameshika bakora na viatu vya makubazi  ndio vyazi la asili ya Zanzibar. Bei ya Kofia hizi sasa zimekuwa na bei ya juu kuazia shilingi Elfu Hamsini na kuendeldea kutegemeana na kofia yenyewe ikiwa na mji gani. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.