Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Akutana na Viongozi wa Mtandao wa Ulingo Tanzania (UMOJA WA WANAWAKE WANASIASA).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya Wanaulingo alipokuwa akipokelewa alipowasili kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo Nov 26, 2015 kwa ajili ya kuhudhuria kwenye Kikao maalum kilichoandaliwa na Wanaulingo Tanzania kwa ajili ya kumpongeza

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na baadhi ya Wanawake wanaounda Umoja wa Wanawake Wanasiasa kutoka Vyama mbalimbali vya Siasa Tanzania walio katika Mtandao wa Ulingo, wakati alipokutana nao katika kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo hao maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo

Baadhi ya Wanawake Wanaulingo wakimsikiliza Mhe. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye katika kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo hao maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo
 Balozi Getrude Mongela, akichangia moja ya kati ya mada zilizokuwa zikizungumziwa katika kikao hicho leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki kuimba wimbo maalum wa mshikamano kwa wanawake wakati wa kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo Tanzania maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi ya 'Dua' kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu wa UWT Zanzibar na Katibu wa Ulingo Tanzania, Salama Aboud Talib, baada ya kumalizika kwa kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo Tanzania maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi ya picha baada ya kumalizika kwa kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo Tanzania maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifurahia jambo na Balozi Getrude Mongela baada ya kumalizika kwa kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo Tanzania maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Mtandao wa Ulingo Tanzania, wanaounda Umoja wa wanawake Wanasiasa wa Vyama mbalimbali vya Siasa Tanzania, baada ya kumalizika kwa kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo hao maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na baadhi ya Viongozi wa Mtandao wa Ulingo Tanzania, wanaounda Umoja wa wanawake Wanasiasa wa Vyama mbalimbali vya Siasa Tanzania, baada ya kumalizika kwa kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo hao maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo Nov 26, 2015. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.