Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Akabidhiwa Tunzo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Tunzo ya dhahabu iliyopewa  Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kutoka kwa  Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana na Watoto Bibi Zainab Omar Mohamed ( Gold Future Policy Award ) kwa mwaka 2015) ambayo imetolewa na Taasisi ya kimataifa ya World Future Council katika Mji wa  Geneva Uswizi tarehe 20 Oktoba, 2015 baada ya Sheria ya Watoto ya Zanzibar ya Mwaka 2011 kuzishinda sheria za Nchi nyingine zaidi ya 20 kwa kukidhi vigezo vilivyoshindaniwa,hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika leo Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiiangalia Tunzo ya dhahabu iliyopewa  Serikali ya Mapinduzi Zanzibar baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana na Watoto Bibi Zainab Omar Mohamed ( Gold Future Policy Award ) kwa mwaka 2015) ambayo imetolewa na Taasisi ya kimataifa ya World Future Council  katika Mji wa  Geneva Uswizi tarehe 20 Oktoba, 2015 baada ya Sheria ya Watoto ya Zanzibar ya Mwaka 2011 kuzishinda sheria za Nchi nyingine zaidi ya 20 kwa kukidhi vigezo vilivyoshindaniwa,hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika leo Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.