Habari za Punde

RC Kilimanjaro,Amos Makala Akutana na Waandishi wa Habari Kuzungumzia Tishio la Ugonjwa wa Kipindupindu

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akizungumza nawanahabari pamoja na Waganga wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro juu ya tishio la ugonjwa hatari wa Kipindupindu.
Baadhi ya Waganga wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro pamoja na waandishi wa habari wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Amos Makala ,( hayupo pichani)

Baadhi ya waandishi wa habari wakiuliza maswali mbele ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala (hayupo pichani) 
Mganga Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Hajati Dkt Mtumwa Mwako (kushoto ) akiandika mambo kadhaa ambayo yameibuliwa na waandishi wa habari katika mkutano huo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.