Habari za Punde

Baiskeli za asili za Raleigh kutoka Uingereza


Ni nyenzo moja muhimu ya mawasiliano kwa wakaazi wa visiwa vya Zanzibar. 


Baiskeli za kiasili za Raleigh na Humber za kiingereza bado zinaendelea kupeta licha ya kuwepo kwa aina nyingi na tofauti za baiskeli hasa kutoka China  (Phoenix) na India. 

Baiskeli licha ya kurahisisha mawasiliano bali pia ni kifaa muhimu cha mazoezi kama huhitaji kujiunga na vikundi vya mazoezi kama Kitambi noma na kadhalika kwani huna haja ya kubadili gia kama baiskeli za kisasa. Gia ni wewe mwenyewe ukishindwa kupanda kilima unashuka tu na kuikokota.

Picha kwa hisani ya Ismail Ishu.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.