Habari za Punde

Timu ya JKU Zanzibar Yaanzisha Timu ya Watoto Chini ya Umri wa Miaka 14.

Jopo la Makocha wa Vikosi vya SMZ Zanzibar wakiwa katika zoezi la kuchagua Vijana wenye vipaji kuunda Timu ya Watoto wa Chuo cha JKU Acedamy yenye umri wa miaka 15. wakiwa katika jukwaa la uwanja wa amaan wakati wa zoezi hilo likifanyika kwa watoto mbalimbali waliojitokeza katika mchujo huo.
Watoto chini yav Umri wa miaka 14 wakiwa katika zoezi la uchaguzi wa Timu ya Watoto inaoyundwa na Timu ya JKU Academy Zanzibar. wakiwa katika jukwaa la uwanja wa amaan Zanzibar. 
Wachezaji wa Timu za Watoto chini ya Umri wa miaka 15 wakiwa katika zoezi la mchujo wa Vijana 60 watakaounda timu ya JKU Acedamy, kukuza Vipaji vya Wachezaji Zanzibar na kuweka kambi yao katika Kambi ya JKU Saateni. 
Watoto chini ya Umri wa miaka 15 wakiwa katika mazoezi ya mchujo wa Timu ya Watoto wa Chuo cha JKU cha Academy Zanzibar. kukuza vipaji vya wachezaji Zanzibar kupitia Chuo hicho.   
Meneja wa Timu ya JKU Zanzibar akifuatilia mazoezi hayo ya Mchujo kwa Watoto watakaounda timu ya Watoto wa Umri wa miaka 15 ya JKU Acedamy. Jopo la Makocha wa Vikosi vya SMZ Zanzibar wakiwa katika zoezi la kuchagua Vijana wenye vipaji kuunda Timu ya Watoto wa Chuo cha JKU Acedamy yenye umri wa miaka 15. wakiwa katika jukwaa la uwanja wa amaan wakati wa zoezi hilo likifanyika kwa watoto mbalimbali waliojitokeza katika mchujo huo.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.