Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Kipanga na Chuoni.Mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Chuoni Imeshinda 2--1

Beki wa Timu ya Chuoni akizuiya mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Chuoni imeshinda 2--1 
Beki wa timu ya Chuoni akimkata mtama mshambuliaji wa timu ya Kipanga. 
Wapenzi wa Timu ya Chuoni wakiishangilias timu yao wakati ikicheza na Kipanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Kipa wa Timu ya Chuoni akiokoa mpitra huo 
Wachezaji wa Timu ya Chuoni na Kipanga wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Chuoni imeshinda 2--1
Kipa wa Timu ya Chuoni akidaka mpira huku mshambuliaji wa Timu ya Kipanga akiwa tayari kufunga. 
Viongozi wa ZFA Wilaya ya Mjini Unguja wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibat kati ya Kipanga na Chuoni. 
Wachezajio wa timu ya Kipanga na Chuoni wakiwania mpira 
Benchi la wachezaji wa Timu ya Chuoni wakifuatilia mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar na Timu ya Kipanga katika uwanja wa Amaan Zanzibar.

Wachezaji wa Timu ya Chuoni wakishangilia baom lao la ushindi la pili lililofungwa kipindi cha Pili cha mchezo huo. 
Benchi la Wachezaji wa Kipanga wakiwa na majonzi baada ya kukubali mabao 2--1 dhidi ya timu ya Chuoni. 
Mchezaji wa timu ya Chuoni akiwa na mpira huku beki wa timu ya Kipanga akimkimbilia wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar 
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot
Zanzinews.com

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.