Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu
Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, na kulia ni
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakisikiliza kwa makini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwaonesha orodha ya Makatibu na Manaibu
Katibu Wakuu aliowateua huku Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na Katibu Mkuu
Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakishuhudia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue Mara baada ya kumkabidhi orodha ya Makatibu na Manaibu Katibu
Wakuu aliwateua leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha zote na IKULU
JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu:
255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425
|
OFISI YA RAIS,
IKULU,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu
Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali.
Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
- Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi -
Ombeni Sefue
- Katibu Mkuu Ikulu
Peter Ilomo
- Ofisi ya Rais, Utumishi na
Utawala Bora
Dkt.
Laurian Ndumbaro
- Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhandisi
Mussa Iyombe (Katibu Mkuu)
Dkt.
Deo Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu - Afya)
Bernard
Makali (Naibu Katibu Mkuu - Elimu)
- Ofisi ya Makamu wa Rais
Mbaraka
A. Wakili ( Katibu Mkuu)
Mhandisi
Ngosi Mwihava (Naibu Katibu Mkuu)
- Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge,
Sera, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu)
Erick
Shitindi (Katibu Mkuu Kazi na Ajira)
Mussa Uledi
(Katibu Mkuu Bunge)
Dkt. Hamis
Mwinyimvua (Katibu Mkuu - Sera)
- Wizara ya Kilimo, Mifugo na
Uvuvi
Dkt.
Frolence Turuka (Katibu Mkuu - Kilimo)
Dkt.
Mashingo (Katibu Mkuu Mifugo)
Dkt. Budeba
(Katibu Mkuu - Uvuvi)
- Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano
Mhandisi Joseph.
Nyamuhanga (Katibu Mkuu - Ujenzi)
Dkt.
Leonard M. Chamuliho (Katibu Mkuu - Uchukuzi)
Profesa
Faustine R. Kamuzora (Katibu Mkuu - Mawasiliano)
Mary
Sassabo (Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano)
Dkt.
Yamungu Kayandabira (Katibu Mkuu)
Dkt. Moses
Kusiluka (Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara ya Maliasili na Utalii
Meja
Jenerali Gaudence S. Milanzi (Katibu Mkuu)
Anjelina
Madete (Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara ya Viwanda, Biashara na
Uwekezaji
Dkt.
Adelhem James Meru (Katibu Mkuu - Viwanda)
Profesa
Adolf F. Mkenda (Katibu Mkuu - Biashara na Uwekezaji)
Mhandisi
Joel Malongo (Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara ya Elimu, Sayansi,
Teknolojia na Ufundi.
Maimuna
Tarishi (Katibu Mkuu)
Profesa
Simon S. Msanjila (Naibu Katibu Mkuu)
Dkt.
Leonard Akwilapo (Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Dkt. Mpoki
Ulisubisya (Katibu Mkuu - Afya)
Sihaba
Nkinga (Katibu Mkuu - Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto)
- Wizara
ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo
Profesa
Elisante Ole Gabriel Mollel (Katibu Mkuu)
- Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Mhandisi
Mbogo Futakamba (Katibu Mkuu)
Mhandisi Kalobero
Emmanuel (Naibu Katibu Mkuu)
Profesa
Justus W. Ntalikwa (Katibu Mkuu)
Profesa
James Epifani Mdoe (Naibu Katibu Mkuu)
Dkt. Paulina
Pallangyo (Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara
ya Katiba na Sheria
Profesa
Sifuni Mchome (Katibu Mkuu)
Suzan Paul
Mlawi (Naibu Katibu Mkuu)
Amon Mpanju
(Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara
ya Mambo ya Ndani
Jaji Meja
Jenerali Projest A. Rwegasira (Katibu Mkuu)
Balozi
Hassan Simba Yahaya (Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara
ya Fedha na Mipango
Dkt.
Silvacius Likwelile (Katibu Mkuu)
Dorothy
Mwanyika (Naibu Katibu Mkuu)
James Dotto
(Naibu Katibu Mkuu)
Amina Hamis
Shaban (Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara ya Mambo ya Nje, Afrika
Mashariki, Kikanda na Kimataifa
Dkt. Aziz
Mlima (Katibu Mkuu)
Balozi
Ramadhan Muombwa Mwinyi ( Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara ya Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa
Job D.
Masima (Katibu Mkuu)
Immaculate Peter
Ngwale (Naibu Katibu Mkuu
Makatibu
wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wote ambao hawajatajwa katika orodha hii
watapangiwa kazi nyingine.
Katika
hatua nyingine Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
amemteua Bw. Eliakimu Maswi kuwa Kaimu Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA) na ametengua uteuzi wa Naibu Kamishina wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania Bw. Lusekelo Mwaseba, ambaye atapangiwa kazi nyingine
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano,
IKULU
30 Desemba, 2015
No comments:
Post a Comment