Habari za Punde

Mahafali ya 11 ya Chuo kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatama na Viongozi wakuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar katika maandamano  wakati wa mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 yaliyofanyika leo chuoni hapo Tunguu  wilaya ya kati Unguja, [Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar  na Viongozi wengune wakiwa katika maandamano  wakati wa mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 yaliyofanyika leo chuoni hapo Tunguu  wilaya ya kati Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya Wazee na Ndugu wa wanafunzi waliohitimu masomo mbali mbali ya Shahada,Stashahada na Vyeti wakiwa katika mahfali ya kumi na moja ya  mwaka 2014/2015 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA yaliyofanyika leo Tunguu wilaya ya kati Unguja,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya Wazee na Ndugu wa wanafunzi waliohitimu masomo mbali mbali ya Shahada,Stashahada na Vyeti wakiwa katika mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA yaliyofanyika leo Tunguu wilaya ya kati Unguja,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
 Viongozi mbali mbali wakiwemo mabalozi wa Nchi za Nje wakiwa katika mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA yaliyofanyika leo Tunguu wilaya ya kati Unguja,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)  akiwa na Viongozi wakuu wa  Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar  katika   mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 chuoni hapo  Tunguu wilaya ya kati Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walioalikwa katika mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA yaliyofanyika leo Tunguu wilaya ya kati Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein wakati akiwatunuku wahitimu Shahada,Stashahada na Vyeti,[Picha na Ikulu.] 


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) kwauwezo aliopewa alipokuwa akiwatunuku Stashahada katika mahafali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA leo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja(kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Bw.Said Bakari Jecha na Makamo Mkuu wa Chuo Prof Idriss Rai,[Picha na Ikulu.]
 Wahitimu wa Shahada ya Kiswahili na Elimu wakiwa katika mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja,mgeni Rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
 Wahitimu wa Shahada ya Sanaa na Elimu wakiwa katika mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja,mgeni Rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika kemia "Master of Science in Chemistry" ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar mhitimu Aflah Abeid Khamis wakati wa mahfali ya kumi na mojaya mwaka 2014/2015    Tunguu wilaya ya kati Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika kemia "Master of Science in Chemistry" ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar mhitimu Fatma Shomari Juma wakati wa mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015   Tunguu  wilaya ya kati Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika kemia "Master of Science in Chemistry" ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar mhitimu Hadia Makame Juma wakati wa mahfali ya kumi na mojaya mwaka 2014/2015 Tunguu  wilaya ya kati Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika kemia "Master of Science in Chemistry" ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar mhitimu Khamis Makame Said  wakati wa mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015Tunguu  wilaya ya kati Unguja leo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.