MKUFUNZI
wa masuala ya habari kwa watoto Margareth James kutoka Shinyanga, akimsikiliza
mmoja wa wanafunzi wa skuli ya msingi Michezani, wakati alipokuwa akiwasilisha
mada ya habari kwa wanafunzi wa skuli za msingi Tumbe na Michenzani, Mafunzo
hayo ya siku mbili yaliyofadhiliwa na SOS ofisi ya Pemba.
Wanafunziwa Skuli ya
Msingi Michenzani na Tumbe, wakimsikiliza kwa makini mkufunzi wa mafunzo ya
Habari kwa watoto Margareth
James, kutoka Shinyanga wakati wa mafunzo ya siku mbili yaliyofadhiliwa na SOS
huko maabara Wawi Kisiwani Pemba.
Mratibu wa Uwendeshaji na Utumishi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amani Pemba, Mussa
Khamis Mussa, akifungua mafunzo ya Habari kwa wanafunzi wa skuli za msingi
Michenzani na Tumbe, huko katika ukumbi wa maabara Chake Chake Pemba
Mkufunzi wa masuala ya habari kwa watoto Margareth James kutoka Shinyanga,
akiwafahamisha wanafunzi wa skuli ya Msingi Tumbe na Michenzani kisiwani Pemba,
juu ya umuhimu wa utoaji wa habari huko katika ukumbi wa Maabara Wawi Kisiwani
Pemba
Mjumbe wa Kamati ya siasa Mkoa wa kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majidi Abdalla,
akizungumza na vijana wa UVCCM wilaya ya Mkoani mkoa wa kusini Pemba, juu ya
kutokukubali kushawishiwa na vyma vya upinzania juu ya Uchaguzi.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment