Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Kiuyu kisiwani Pemba akitembelea Jengo la Skuli hiyo ambalo bado kumalizika kwa Ujenzi wake likiwa limefika kozi nne za matofali linahitaji msaada ili kufanikisha kumalizika kwa ujenzi wake
Jengo la Ofisi za Idara ya Misitu Kisiwani Pemba lilioka katika Msitu wa Hifadhi wa Genzi kama linavyoonekana pichani hali yake kwa sasa.
Baadhi ya madereva kisiwani Pemba huegesha gari zao katika maeneo ya biashara na kusababisha usumbuvu kwa wananchi wa maeneo hayo kama inavyoonekana picha wananchi hawa wakiliondoa gari hilo lililokuwa limeegesha katiuka eneo hilo.
Wananchi Kisiwani Pemba wakiwa katika Soko la machomane Pemba wakipata huduma ya samaki katika soko hilo.
Shirika la Taifa la Biashara kutoa elimu kwa Wakulima wa zao la karafuu kisiwani Pemba kuanika karafuu zao katika majavi ili kuzipatia karafuu hizo ubora wake wakati wanapokwenda kuziuza karika ZSTC, kama inavyoonekana picha baadhi ya wakulima huanika karafuu zao chini kando ya barabara.
( Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)
No comments:
Post a Comment