Habari za Punde

Wasaidizi wa Sheria Wanaendelea na Masomo ya Sheria za Ajira Pemba.

Afisa Mipango wa kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Khalfan Amour Mohamed, akielezea kwa ufupi juu ya mafunzo kwa wasaidizi wa sheria wanaoendelea na masomo yao, kwenye semina ya kukumbushwa sheria za kazi, yaliofanyika kituoni hapo
Afisa Mipango wa kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Siti Habib Mohamed, akitoa mada ya sheria ya ajira, kwenye mafunzo ya wasaidizi wa sheria wanaoendelea na masomo, kwenye semina ya kukumbushwa sheria za kazi, yaliofanyika kituo cha huduma za sheria Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.