Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Mtende na Kipanga Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu hizo Zimetoka Sare ya 1--1


Mchezaji wa Timu ya Kipanga na Mtende wakiwania mpira.
Mchezaji wa Timu ya Kipanga na Mtende wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mchezaji wa Timu ya Kipanga na Mtende wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.

Beki wa Timu ya Kipanga akiondoa mpira golini kwake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1 
Mchezaji wa Timu ya Mtende akiwa chini akiondoa mpira huku mchezaji wa timu ya Kipanga akiwa ameinua juu kiatu chake.
Kocha Mkuu wa Timu ya Kipanga Mashaka Ramadhani akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar na timu ya Mtende na kueleza timu yake imeshindwa kutumia nafasi nyingi walizopata na kukosa ushinda katika mchezo huo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1 
Kocha Mkuu wa Timu ya Mtende Rangers Kheri Ali akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wao na Timu ya Kipanga na kutowa lawama kwa waamuzi kutochezesha sawa na kuinyima timu yake ushindi katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Timu hizo zimetoka sare ya bao 
1--1

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.