Habari za Punde

Pikipiki yaangukiwa na mti

PIKIPIKI hii ambayo mtu aliyeiegesha hakujulikana mara moja, ilipata ajali ya kuangukiwa na matawi ya mti katika eneo la Majestic mjini Zanzibar mkabala na kituo cha Polisi, kama ilivyonaswa na kamera ya Zanzibar Leo jana asubuhi. (Picha na Salum Vuai). 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.