Habari za Punde

ZIARA YA RAIS KUANGALIA MIRADI YA MAENDELEO WETE PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelekezo na Ushauri kwa wasimamizi wa Barabara ya Meli tano-Madenjani jana alipotembelea maendeleo ua ujenzi wa Barabara hiyo akiwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali Mkoa wa Kaskazini Pemba katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar (kulia) Katibu Mkuu wa Wizara Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wananchi wa Mji wa Wete jana alipofika  kutembelea mendeleo ya ujenzi wa Soko Kuu la Mji huo linalojengwa na Kampuni ya STC Company Ltd ya Jijini Dare s Salaam ziara hiyo ikiwa katika maadhimisho ya shamara shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi alipofika  kutembelea mendeleo ya Ujenzi wa Soko Kuu la Mji wa Wete Pemba  linalojengwa na Kampuni ya STC Company Ltd ya Jijini Dare s Salaam ziara hiyo aliyoifanya jana  ikiwa katika maadhimisho ya shamara shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wazee mbali mbali  alipofika  kutembelea mendeleo ya Ujenzi wa Soko Kuu la Mji wa Wete Pemba  linalojengwa na Kampuni ya STC Company Ltd ya Jijini Dare s Salaam ziara hiyo aliyoifanya jana  ikiwa katika maadhimisho ya shamara shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka mkandarasi wa Kampuni ya STC ya Jijini Dar es Salaam Mhina D,Siwale jana alipokuwa akiangalia Ramani  ua ujenzi wa Soko Kuu la Mji wa Wete kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo sambamba na Ofisi ya Baraza la Mji huo  katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa pili kulia) Katibu wa Halmashauri ya Mji wa Wete
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya STC ya Jijini Dar es Salaam wakiwa katika Soko Kuu ya Mji wa Wete Pemba wakifuatilia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) alipotembelea maendeleo ya Ujenzi wa Soko hilo jana ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya  miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na wasaidizi wake alipotembelea  ujenzi wa Soko Kuu la Mji wa Wete Pemba linalojengwa na  Kampuni ya STC ya Jijini Dar es Salaam sambamba na Ofisi ya Baraza la Mji ikiwa ni  katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka Mkurugenzi wa Manispaa ya Mji wa Wete Mgeni Othman Juma wakati alipotembelea Ofisi ya Baraza la Mji huo  zinazojengwa na Kampuni ya STC ya Jijini Dar es Salaam,Rais akiwa ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo katika Mkoa wa Kaskazini Pemba  katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa pili kulia) Katibu wa Halmashauri ya Mji wa Wete
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na  Mkurugenzi wa Manispaa ya Mji wa Wete Mgeni Othman Juma (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman Khamis baada ya kutembelea Ofisi ya Baraza la Mji huo  zinazojengwa na Kampuni ya STC ya Jijini Dar es Salaam,Rais akiwa ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo katika Mkoa wa Kaskazini Pemba   katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Nd,Joseph Meza alipokuwa akitoa maelezo wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipotembelea Soko la Mji wa Wete jana akiwa katika ziara za kutembelea miradi mbali mbalikatika Mkoa wa kaskazini Pemba ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 52 yta Mapinduzi matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi wa Mji wa Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba jana alipofanya ziara ya kutembelea maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Soko na Ofisi za Baraza la Mji huo ikiwa katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 52 yta Mapinduzi matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifafanua jambo wakati alipozungumza na wananchi wa Mji wa Wete jana  baada ya kulitembelea Soko la mji huo ikiwa ni katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman,[Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.