Habari za Punde

Uzinduzi wa Kombe la Mapinduzi Cup Kati ya Mafunzo na Yanga Mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Yanga Imeshinda 3--0.

Timu za Yanga na Mafunzo zikiingia katika Uwanja wa Amaan kuaza mchezo wao wa ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi yanayofanyika katika viwanja vya Amaa Zanzibar. Kati mchezo huo Yanga imeshinda 3--0.  
Naibu Waziri wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Mhe Issa Haji Gavu, kulia akiwa ma Mwenyeketi  wa Kamati ya Muda ya ZAF akimshindikiza kwenda kukagua timu za Yanga na Mafunzo.
Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Mhe Issa Haji Gavu akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Yanga Afrika kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Uzinduzi wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika jioni jana katika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Mhe Issa Haji Gavu akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Mafunzo kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Uzinduzi wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika jioni jana katika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa timu ya Yanga wakisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Mafunzo kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Kikosi cha Timu ya Yanga kilichotoka na Ushindi wa Mabaoo 3--0 katika mchezo wao wa Ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Kikosi cha Timu ya Mafunzo kilichokubali kufungwa na Yanga kwa Mabao 3--0.
Waamuzi wa mchezo huo wa Ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi wakiwa katika picha ya pamoja na Makepteni wa Mafunzo na Yanga kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa ufunguzi.
Benchi la Ufundi la Timu ya Yanga likiongozwa na Kocha wake Mkuu wakifuatilia mchezo wao wa Ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mchezaji wa Timu ya Yanga akiweka jaro golini kwa timu ya Mafunzo.huku beki wa Mafunzo akijiandaa kumzuiya.
Mshambuliaji wa Timu ya Yanga akimpita beki wa timu ya Mafunzo.
Mshambuliaji wa Timu ya Yanga akimpita beki wa timu ya Mafunzo.
Mshambuliaji wa Timu ya Yanga akimpita beki wa timu ya Mafunzo.
Mshambuliaji wa Timu ya Yanga Msuva akimpongeza mchezaji mwezake Ngoma baada ya kuifungia timu yake katika mchezo wao wa ufunguzi wea Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar
Wachezaji wa Timu ya Yanga wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na  mshamhuliaji wao Ngoma 
Kocha Msaidizi wa Timu ya Azam akifuatilia mchezo wa ufunguzi wa Michuano ya Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Yanga imeshinda 3--0.
Mfungaji wa timu ya Yanga Ngoma akishangilia bao lake la kwanza wakati wa mchezo wao na Timu ya Mafunzo.
Wachezaji wa Timu ya Yanga wakishangilia bao lao la Pili lililofungwa na  mshamhuliaji wao Ngoma 
Benchi la Ufundi la timu ya Mafunzo wakiwa na simazi baada timu yao kufungwa mabao tatu na Timu ya Yanga katika mchezo wao wa ufunguzi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Wapenzi wa mchezo wa Soka Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi kati ya Timu ya Yanga na Mafunzo uliofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Yanga imeshinda 3--0
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blongspot.
Zanzinews,com

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.