Habari za Punde

ZSTC yakanusha tuhuma za kuwakopa wakulima wa karafuu

Mdhamini wa Shirika la ZSTC Pemba, Abdalla Ali Ussi, akizungumza na Waandishi wa habari juu ya tuhuma zilizoenea kuhusu kuenea uvumi wa kwamba ZSTC inawakopa Wakulima fedha zao baada ya kwenda kuuza Vituoni humo.

Mkurugenzi fedha wa ZSTC Zanzibar, Ismail  Khamis Bhai, akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya mkopo uliotplewa na Shirika hilo kwa Wakulima za Zao hilo Zanzibar, huko katika ghala la ZSTC Wete-Pemba.
Karafuu zikiwa katika ghala zikisubiri kusafirishwa huko katika ghala la Wete - Pemba.

PICHA NA BAKAR MUSSA -PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.