Tuesday, February 23, 2016

Mitaa ya Mji Mkongwe Zenj Ikivutia na Historia ya Zanzibar kwa Wageni Wanaofika Zenj .

Mtaa wa Mji Mkongwe eneo la mkunazini jirani na Masjid Jibril kutokea kwa batashi jinsi ikiwa katika hali ya utulivu kwa wananchi wanaofika katika mtaa huo na kutembelea Mji Mkongwe Zanzibar kujionea hali ya mitaa ya Mji Huo.