MATANGAZO MADOGO MADOGO

Monday, February 1, 2016

Ununuzi wa Tiketi wa Mv Mapinduzi 2 na MV Maendeleo


Foleni ya abiria wanaokata tiketi za meli ya Mv maendeleo na Mapinduzi 2.inaelezwa kuwa utaratibu wa upatikanaji wa huduma hio kisiwa cha Pemba katika ofisi zilizopo Chake chake zinaleta usumbufu.


Picha na Anuar Pemba.