Mjasiriamali wa Matunda ya aina ya Matikiti Maji akiweka sawa matunda hayo kwa ajili ya wateja wake katika maeneo ya daraja bovu mtoni Unguja Tunda moja huuzwa kwa shilingi 500/= na kuendelea inategemea na ukubwa wake.
Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Mtopepo mtoni wakinunua matunda ya matikitimaji
No comments:
Post a Comment