Habari za Punde

Wanafunzi wa Chuo Cha Muziki cha DCMA Zanzibar Waonesha Umahiri wa Mafunzo Waliopata katika Bustani ya Forodhani Zanzibar.

Mkurugenzi wa DCMA Bi Fatma akitowa maelezo ya Chuo hicho ambacho kwa sasa kimashafikishja miaka 15 tangu kuazishwa na kutowa mafunzo ya Muziki kwa Vijana mbali mbali chuani hapo na kusema hawa ni baadhi ya Vijana wanaomaliza mafunzo yao ya kujifunzi upigaji wa Miziki na kutumia vyombo mbalimbali vya muziki vya asilia na vya kisasa. Wakionesha jinsi ya kufauli mafunzo yao hayo kwa unesho hili katika viwanja vya forodhani. 




















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.